BUCoHas
- May 28, 2026
- Admin
- 0
Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi BUCoHas kilichopo Wilaya ya Lushoto Halimashauri ya Bumbuli, ni chuo binafsi cha mchanganyiko ambacho kimeanzishwa kwa makusudi ya kutoa Elimu za afya na kimesajiliwa kwa usajili REG/HAS/073.
Chuo kinatoa mafunzo kwa program Tatu
- Ordinary Diploma in Clinical Medicine (CMT)
- Ordinary Diploma in Medical Laboratory Sciences (MLT)
- Certificate in Laboratory Assistant.
Sifa za kujiunga na kozi zinatolewa na chuo
- Stashahada ya Utabibu (Ordinary Diploma in clinical medicine) Mwanafunzi awe na ufaulu wa Kidato cha nne angalau kwa alama D ya masomo manne yakiwemo masomo ya sayanisi yaani biolojia , fizikia na kemia na somo moja wapo kati ya hisabati au kiingereza
- Stashahada ya sayansi ya maabara ya afya (ordinary diploma in medical laboratory sciences) Mwanafunzi awe na ufaulu wa Kidato cha nne angalau kwa alama D ya masomo manne yakiwemo masomo ya sayanisi yaani biolojia , fizikia na kemia na somo moja wapo kati ya hisabati au kiingereza
- Stashahada ya maabara ya viwandani (certificate in lab assistant) ufaulu wa elimu ya sekondari angalau kwa alama D katika masomo mawili yasio ya Dini.
Mawasiliano.
- 0765954582
- 0765526963
- 0718141668
- 0675330281
- 0755098901
Wanafunzi wenye sifa wanaweza kutuma maombi yao kwa njia mtandao https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSf9hhfMOb3f-UapzelGcGTgszAWKh6zEanBXkYzVCXFlKvwFA/viewform?usp=header pia unaweza pata msaada kupitia namba za simu zifuatazo
.

